text
stringlengths 1
199
⌀ | labels
int64 0
1
|
---|---|
na pengine alipokuwa sio chake lake huwa wana ushirikiano sana unaweza pigwa viwembe vya uso hutoamini | 0 |
sahihi | 0 |
nimedate na wawili wewe na baba yako basi | 0 |
aione national anthem | 0 |
mwananchi ipi | 0 |
ila binti maua | 0 |
bila shaka haukua tz | 0 |
sawa | 0 |
kuna chimbo ngerengere linaitw mndukubuku buku mbili unajipigia fresh na nyongeza unapewa ndogo | 0 |
kamwambie huyo jamaa yako unatuambia sisi tukusaidiaje sasa | 0 |
dogo hata kwa kumwangalia kwa macho ya kawaida unaona kabisa ni malaya asitusumbumbue vichwa | 0 |
na ndiyo maana unashukuru ni mzima | 0 |
we acha kabisa watoto wa kike ni changamoto ndugu yangu alilelewa malezi mazuri na akasoma shule bora tu loyola sema ndo vile lakini kwa asili huyu ni mngoni kabila ambalo linajulikana kwa ukarim | 0 |
eeeeeeeeh wadangaji malaya na wenyewe wameamua kuvunja ukimya | 0 |
sawa | 0 |
mimi naishi mkoani hakunaga biashara za wazi za kuuza nyapu | 0 |
naam inatawala ccm hilo linajulikana sana kwani hao waliovianzishvyama vya upinzani si walikuwa ccm wote ukiona mtu anatukana elewa kuwa hana jibu ya hoja uliyompa na imemuingia vizuri | 0 |
tunajua ndio ila ana ukimwi unajua hilo au unataka tukuzike tule pilau | 0 |
mkuu umeongea jambo la msingi sanaaaaa | 0 |
correct | 0 |
kweli kama serikali imeshindwa kwanini wasimng oe mkuu wa serikali mwenyewe wakati wanayo mamlaka kikatiba | 0 |
hakuna refa hapa upumbavu mtupu | 0 |
nakukatalia tabia inachukua asilimia ndogo sana | 0 |
sorry robert heriel aliwahi kuku https jamii app jfuserguide | 0 |
ata utaratibu wao ni pakawaida sana | 0 |
ulimtajia bei | 0 |
nini kimekupata | 0 |
unauza kwani | 0 |
kumbe gari alitumia la kwake | 0 |
wake zetu hawafanyi ndio tatizo wao wanawaza jinsi ya kutupa stress tufe mapema wao wachukue mali zetu | 0 |
acha hizo | 0 |
huyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi nishamsisitiza sana | 0 |
ni ngumu sana kukumbuka kinga | 0 |
chadema huchagua nini | 0 |
hii comment | 0 |
ukawa unawagonga bila kuchukua namba zao hahaha | 0 |
ni mke wangu mkuu | 0 |
akili zako ndozimelalia hapo badala ujenge hoja wewe unatukana | 0 |
mamayo | 0 |
endelea kuvumilia hadi akuletee ukimwi dada pole hata hivyo | 0 |
pesa hai ombwi inatafutwa | 0 |
aisee huu uzi ndo nauona leo | 0 |
wanamiliki magari kwa biashara hiyohiyo hivyo ndio ajira wanasema penda kazi yako | 0 |
hakuna cha haki zaidi ya kuharibi jamii | 0 |
kama wa mtaani wanaishi mtandaoni sawa wamekutafuna babandu kwishaaa | 0 |
kabisa kulingana na uhalisia wa mtu inapaswa ufuate vile mwili wako unaweza kumudu mambo ya kujitia ufundi ikiwa huna ufundi wowote ndio kuishia kujiua kabisa | 0 |
daaah acha tuu | 0 |
ila sio makosa yake bado mdogo | 0 |
yap anataka overtake kwenye kona kalii | 0 |
adui yako muombee nyegeutanishukuru | 0 |
ha ha ha | 0 |
kinamna frani yuko sahihi maana pliscal ni mdogo wake | 0 |
jibu unalo tayari yaan romantic nyege | 0 |
ah wapi | 0 |
ogopa hivi vitu vitatu nyege njaa maradhi | 0 |
huyu anazishika | 0 |
kakata uume kabakiza nyegezitamtesa sana hakika ila pole yake | 0 |
yupo tu | 0 |
ambong oleee apachikeee | 0 |
zimekuingia | 0 |
yaani | 0 |
nyeg hazijawahi muacha mtu salamaa | 0 |
lazima kiwastiri | 0 |
kheee | 0 |
soma ukiwa na shemeji kando | 0 |
bora ungevunga tuumenivuruga mazma | 0 |
oya weeeh | 0 |
duniani mambo si mepesimadem wa tabora naskia wanasunda ugoro kwenye kitumbua ili kupunguza nyeg | 0 |
nipe mnduku niumbeto nina genye kisado | 0 |
niacheeeeeeeeeeee | 0 |
we dunia huwezi hongwa isipokua utapewa mtaa wako wote | 0 |
duh | 0 |
aloooooooooo nyetto iheshimiwe | 0 |
twenzetu nikazitoe kimasihara mumy | 0 |
njoo uzitoe basi | 0 |
kheeee | 0 |
halafu utakuta manzi mwenyewe mbovuwewe na jamaa yako inabidi mpunguze nyeg | 0 |
mwambie akuhonge ziwa victoria ili dpw wakuheshimu | 0 |
wakati wa kampeni za uchaguzi ahadi nzuri hutolewa | 0 |
ulisha muuliza baba mwana lakini | 0 |
sawa mkuu | 0 |
sasa tunatoka ili tufahamiane rough rider za nini | 0 |
jamaa wanakupa nyeg kinoma | 0 |
madhara ya nyege dronedrake | 0 |
sio njaa tena | 0 |
dah aibu nasikia mimi yaani nyege sio za kuziendekeza | 0 |
m mungu yupo mkuu isipokuwa dini ndo zina shida | 0 |
kawaida hiyo hata ukita kumkamua ng ombe maziwa lazima umbembeleze kwa kumpa vitu vizuri vizuri | 0 |
kupunguza stress za dpw | 0 |
njoo inbox | 0 |
haya maswali ungeuliza baada ya kumsaidia kwanza jambo lake baba mwana | 0 |
wewe bibi umedata | 0 |
wakuu tamasha maarufu la kitamaduni nchini uganda nyege nyege sasa litafanyika baada ya awali bunge la nchi hiyo kutaka kusitishwa kwa madai ya kuruhusu vitendo vya uasherati kwa mwaka huu tam | 0 |
kuna hawa madogo wa bodaboda wanazalisha sana | 0 |
sawa | 0 |
sijaelewa mlemavu hana nyeg kwani hanaki ya kufanya tendo hilo pia naye si binadamu anahitaji mtoto kwanini wewe unaona kamkatili badala ya kuona kamuheshimisha | 0 |
oh nilisahau ngoja nisali novena | 0 |
kumbuka ndege wanyama hawana uzazi wa mpango na wanaishi | 0 |
wanetu sana raisi tia neno la shukrani dronedrake | 0 |
duhhhhhh | 0 |