audio_ID
stringlengths 39
46
| audio
audioduration (s) 2.14
242
| transcript
stringlengths 14
1.42k
|
---|---|---|
Karatu_47_2023-07-29 09_01_17/1690612052462 | je kuna kitu chochote ulipenda kuhusu kukuza aina C? hakuna |
|
Karatu_47_2023-07-29 09_01_17/1690612095093 | ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina C kwa biashara au matumizi ya chakula? rangi yake haijanivutia |
|
Karatu_47_2023-07-29 09_01_17/1690612365632 | ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A hakuna |
|
Karatu_47_2023-07-29 09_01_17/1690612398541 | ni aina gani ya tricot kati ya hizi tatu ambayo hukuipenda hiyo namba, hiyo C |
|
Karatu_47_2023-07-29 09_01_17/1690612320943 | je kuna kitu chochote unanfikiri kinaweza kufanya aina C kua nzuri kwa biashara ua matumizi ya chakula hakuna |
|
Karatu_47_2023-07-29 09_01_17/1690612289299 | ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa matumizi ya biashara au chakula hakuna |
|
Karatu_47_2023-07-29 09_01_17/1690612435601 | kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi …..... ambayo ni… A ulipenda A! eeee |
|
Karatu_47_2023-07-29 09_01_17/1690612232177 | ni kitu gani ulichokipenda kuhusu aina ya B kwa bishara au matumizi ya chakula aah kwa matumizi ya chakula, nianze matumizi ya chakula, ni nzuri, kwa sababu hii unapopika vyakula mfano, labda umepika vyakula hivi vya viwe ni ndizi, makande kwa sababu ya wekunndu wake kwa kweli inakolea mimi naipenda laini pia hata kuiva inaiva vizuri sio mbaya iko vizuri |
|
Kilindi_5_2023-08-03 12_07_20/1691054711005 | ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B ukielekeza kwenye sifa za kilimo, kwenye kuikuza hii kitu gani hukukipenda aah hapana hakuna hakuna |
|
Kilindi_11_2023-08-03 09_56_25/1691047363346 | kuna kitu chochote ulipenda kuhusu aina A sasa, kwenye sifa za kilimo kukuza? eee, uliipenda wakati wa upandaji labda hilo swali sijalielewa yani kitu chochote ambacho ulikipenda kwa kupanda hii mbegu A kwa ujumla hii mbegu nimeipenda kwanza rangi yake, lakini pia hii mbegu hata kule nyumbani kwa kula wanaipanda sana kwa hiyo niliipenda kwa habari ya upande wa kula kwa upande wa biashara sijajua kama ina biashara labda hawa maafisa kilimo wananii masoko lakini kwa kula naielewa iko vizuri |
|
Kilindi_11_2023-08-03 09_56_25/1691047393061 | nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya B mbegu B sifa zake sifa ambazo zilisababisha ni uzao lakini pia uvumilivu kwa sababu pamoja na hali ya hewa lakini bado ziliendelea kustahimili hali ya hewa zikatoka vizuri sawa na uzazi mzuri kwahiyo hii imesababiasha niipende lakini ile C nimeipenda kwa sababu nayo sio mbaya ni hali ya hewa lakini hii bado inafanya vizuri sifa ya pili kwenye hii aina B uliyoipenda kukuza kupanda hii ni kwanza ni soko ya B! ya B, hii , soko, sijajua soko lake kwamba likoje, lakini uzazi wake kweli kwa ujumla nimeipenda kwa uzazi wake |
|
Kilindi_11_2023-08-03 09_56_25/1691047575985 | kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya hii aina A kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula inategemea sasa labda, kwa upande wa biashara inategemea kwanza kupata wateja, wateja wakipatikana maana yake itakua vizuri kwa sababu uzalishaji wake utaongezeka, unajua bishaa inapokua ina soko na uzalishaji unaongezeka, kwa hiyo kama ni bidii ya kuongeza uzalishaji katika ile biashara unaongezeka lakini kama ni kula tu siwezi nikalima shamba labda linatoa gunia ishirirni itakua ni hasara kwangu |
|
Kilindi_11_2023-08-03 09_56_25/1691047429146 | kwa ujumla ina gani ya tricot uliipenda zaidi niliyoipenda zaidi ni hii B ambayo ni nyekundu, akini pia ya pili ni ile ambayo ni rozikoku ile ambayo ni C |
|
Kilindi_11_2023-08-03 09_56_25/1691047655339 | ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina C kwa biashara au matumizi ya chakula? hakuna |
|
Kilindi_11_2023-08-03 09_56_25/1691047281606 | nini ulipenda kuhusu kuilima au kuikuza hiyo aina C inazaaa alafu inavumilia haishambuliwi na wadudu kama hizi zingine |
|
Hai_24_2023-07-29 13_45_47/1690628928062 | je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina A? hapana. |
|
Hai_24_2023-07-29 13_45_47/1690628691907 | kwa ujumla ni aina gani ya mbgu uliyoipenda kati ya hizo tatu ni namba C |
|
Hai_24_2023-07-29 13_45_47/1690629059645 | Kwa mbegu zote hizo au aina zote tulizokupa ipi unaipa namba ya mwisho namba moja ambayo ni ipi namba A |
|
Hai_24_2023-07-29 13_45_47/1690628670605 | je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanyika au kukifanya aina B kua nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula ndio, ndio,itakua nzuri kwa sababu ya ardhi, hii inataka ardhi ya kichanga, hizi mbegu mbili ardhi ya kichanga, hiyo nyingine namba C naona udongo wowote unaapply kwake |
|
Hai_24_2023-07-29 13_45_47/1690629005976 | ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina C kwa bishara au matumizi ya chakula inawezekana hii mbegu ni nzuri sana na ni tamu, na itapendwa na watu licha hatujaila hatujafanya nini, watu wataipenda kuliko haya mengine |
|
Hai_24_2023-07-29 13_45_47/1690629223873 | nini, ni kitu gani hukukipenda kuhukipenda kuhusu kukuza aina C hakuna |
|
Hai_24_2023-07-29 13_45_47/1690628862574 | ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara na matumizi ya chakula yani ni kwamba wadudu wanashambulia kuliko hizi nyingine |
|
Hai_24_2023-07-29 13_45_47/1690629037577 | ni kitu gani hukukipenda kuhusu kuikuza ina C hakuna |
|
Hai_24_2023-07-29 13_45_47/1690629154771 | ni kitu gani hukupenda kuhushu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula kwa matumizi ya c hakula unaweza kulima kidogo lakini kwa biashara huwezi kupata pesa haraka kwa sababu haina wateja |
|
Hai_24_2023-07-29 13_45_47/1690628767395 | ni kitu gani ullichopenda kuhusu aina C kwa biashara au matumizi ya chakula kwanza ni nzuri inafaa kula alafupia ina biashara |
|
Lushoto_6_2023-08-02 12_39_01/1690970803960 | kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi C ndo niliipenda zaidi |
|
Lushoto_6_2023-08-02 12_39_01/1690970507267 | ni nini ulipenda kuhusu kukuza aina C eleza kwenye sifa za kilimo kwanza zinazaa sana alafu zinavumilia ukame |
|
Lushoto_6_2023-08-02 12_39_01/1690970341239 | kati ya hizo ulizopewa ipi inakua na uzalishaji mdogo A inakua na uzalishaji mdogo sana |
|
Lushoto_6_2023-08-02 12_39_01/1690970375049 | kitu gani hukipendi kuhusu aina C kwa biashara au matumizi ya chakula haina changamoto |
|
Lushoto_6_2023-08-02 12_39_01/1690970630859 | je kitu chochote ambacho ullipenda kuhusu kuikuza aina A? Inahimili mvua nyingi |
|
Lushoto_6_2023-08-02 12_39_01/1690970596085 | ni kitu gani hukipendi kuhusu kukuza aina C eleza kwenye sifa za kilimo kwanza inachelewa kukomaa hii A lakini pia hata kuzaa kwake haizai sana |
|
Lushoto_6_2023-08-02 12_39_01/1690970764472 | ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina C kwa bishara au matumizi ya chakula kwanza ni nzuri inafaa kula alafupia ina biashara |
|
Lushoto_6_2023-08-02 12_39_01/1690970693174 | je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina A kua nzuri kwa biashara ua matumizi ya chakula nafikiri wakibadilisha rangi inaweza kua nzuri kwa biashara |
|
Lushoto_20_2023-08-02 10_11_10/1690961871169 | Ni kitugani hukipendi kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula?Ee ni size yake ni ndogo kwa hiyo katika ujazo wa debe ambayo ndio kipimo ambayo tunapimia wakati tunafanya biashara ni kwamba yanatikiwa yawe maharange mengi |
|
Lushoto_20_2023-08-02 10_11_10/1690961940788 | Kati ya aina hizo tatu ya trikoti ipi inazaa kidogo? Katika hizo tatu, B ndio inazaa kidogo |
|
Kilindi_21_2023-08-05 16_36_21/1691243430868 | Ni kitugani hukukipenda kuhusu kukuza aina ya B, kitu ambacho hukukipenda kwenye kukuza aina ya B. Kwa kweli hamna. Hakuna. |
|
Kilindi_21_2023-08-05 16_36_21/1691243514679 | Tukiacha aina ambao uliipenda sana ilikuwa ni B ni aina gani ambao unaipenda saa ukiacha A ukiacha Ile B ni aina gani ambao umeipenda tena kidogo. C. C. |
|
Kilindi_21_2023-08-05 16_36_21/1691243365158 | Kwa ujumla aina gani ya trikoti uliipenda zaidi. B. B |
|
Kilindi_21_2023-08-05 16_36_21/1691243407511 | Nini ulipenda kuhusu kukuza aina ya B, elekezi kwenye sifa ya kilimo. Yaani imenipendezesha kulingana iliota vizuri na ukuaji wake ulikuwa mzuri na ukomaaji ulikuwa haraka. |
|
Kilindi_21_2023-08-05 16_36_21/1691243482810 | Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya B kwa biashara au matumizi ya nyumbani. Kwa biashara, kwa biashara. Ulipenda kwa biashara lakini kwenye Biashara ni vi yaani ni sifa ipi sasa kwa nini umependa kwa biashara kwenye hiyo B. Kwa sababu ya uzalishaji wake ni mzuri. Sababu nyingine ambayo unaweza kufikiria? Sababu ya pili yaani kwa ujumla hiyo uzalishaji wake ukiwa mzuri si nina pata na ni mazao mengi na nikipata mazao mengi si ndio inaniongezea uchumi |
|
Kilindi_21_2023-08-05 16_36_21/1691243589589 | Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuza aina ya C, elekeza kwenye sifa za kilimo. Yaani ili nisaidiwe au iweje sasa. Hapo niku kwamba unataja tu sifa ya hiyo aina ya C kwenye kukuza. Ni ileile sifa kwamba nimeiota vizuri, ikawa inamea vizuri na kwenye uzaaji wake ni mzuri |
|
Arumeru_53_2023-07-26 11_30_22/1690363656379 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C kwa biashara au kwa matumizi ya chakula? Hapana |
|
Arumeru_53_2023-07-26 11_30_22/1690363617831 | Je ni kitu gani ulicho kipenda kuhusu aina C, kwa biashara au kwa matumizi ya chakula? kwa biashara kwa sababu ina wateja sokoni. Sawa |
|
Arumeru_53_2023-07-26 11_30_22/1690363895592 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula? kwa sababu tu aina uzao mwingi. Sawa |
|
Arumeru_53_2023-07-26 11_30_22/1690363550313 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuzia aina ya C. Kutokutoa maua mapema. Sawa |
|
Arumeru_53_2023-07-26 11_30_22/1690363349572 | Kwa ujumla ni aina gani ya tricot uliipenda zaidi. C |
|
Arumeru_53_2023-07-26 11_30_22/1690363410877 | Nini ulipenda kuhusu kukuzia haina ya C, eleza kwenye sifa za kilimo. Niliipenda kwa sababu inabiashara halafu pili ina rangi nzuri. Sawa |
|
Arumeru_53_2023-07-26 11_30_22/1690363722285 | Miongoni mwa hiyo majaribio matatu hipi hukuipenda kabisa? Ni A. Sawa |
|
Arumeru_53_2023-07-26 11_30_22/1690363934007 | Je kuna kitu chochote unafikiria kinaweza kufanya aina ya A kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Kwa kweli sijui |
|
Arumeru_53_2023-07-26 11_30_22/1690363843542 | Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuzia aina A, eleza kwenye sifa za kilimo. Nimeyapenda maana hayana gesi na ya, ni mazuri kwa kupikia |
|
Arumeru_53_2023-07-26 11_30_22/1690363784722 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuzia aina C, eleza kwenye sifa za kilimo. kutokukomaa mapema |
|
Lushoto_25_2023-08-02 10_18_00/1690962320251 | Nini ulipenda kuhusu kukuza zaidi aina ya A. Sababu ya soko. Sababu nyingine? Sababu nyingine? sababu nyingine, |
|
Lushoto_25_2023-08-02 10_18_00/1690962279748 | Kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi? ya A |
|
Lushoto_25_2023-08-02 10_18_00/1690962461077 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula? kingine? |
|
Lushoto_25_2023-08-02 10_18_00/1690962381446 | Ni kitu gani ulichopenda zaidi kuhusu aina ya A, kwa biashara au matumiza ya chakula? Ni biashara |
|
Lushoto_25_2023-08-02 10_18_00/1690962647858 | Je, kuna kitu chochote unafikiri kinaweza fanya aina B kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Inafaa kwa matumizi ya chakula |
|
Lushoto_25_2023-08-02 10_18_00/1690962497821 | Je ni tricot gani huipenda zaidi kati ya A na B? Hiyo ya C. Kati ya zile A na B, ile C si ilikufa. Sawa, ni B |
|
Lushoto_25_2023-08-02 10_18_00/1690962524285 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A? Jua linakauka kwenye mashimo yake. |
|
Lushoto_25_2023-08-02 10_18_00/1690962361653 | Ni kitu gani haukukipenda kuhusu kukuza aina A? Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A? Kuikuza? wakati unapanda hayo maharage yako mpaka hapo umefikia umevuna, haya aina ya A ni kitu gani ambacho wewe hukukipenda? |
|
Lushoto_25_2023-08-02 10_18_00/1690962546974 | Je, kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu aina B? Kitu ulichokipenda, vyote ambavyo umependa kuhusu aina B. Kuhusu aina B kuhusu matumizi ya chakula. |
|
Lushoto_25_2023-08-02 10_18_00/1690962574349 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula? Kuhusu biashara, kuwa haina soko |
|
Kilindi_1_2023-08-03 08_52_48/1691043266272 | Ni kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi? Ni Rosecoco B, ni B? |
|
Hai_21_2023-07-28 11_13_08/1690533707331 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya A kwa biashara au matumizi ya chakula. Hapana. Hapana nini? Kwenye A hakuna kitu nilichokiona hakifai.sawa |
|
Hai_21_2023-07-28 11_13_08/1690533663542 | Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina ya A, kwa biashara au matumizi ya chakula? A naipenda kwa matumizi ya chakula pia kwa biashara sokoni. Kwani kwa nini kwa jia ya matumizi ya chakula au kwa nini ya biashara? ni kwa sababu sokoni inaweza kutembea haraka pia kwa matumizi ya chakula ni nzuri |
|
Hai_21_2023-07-28 11_13_08/1690533753142 | Katika majaribio matatu ipi uliipenda kwa uchacha wake. Katika majaribio matatu niliyoipenda kwa uchacha yake ni C |
|
Hai_21_2023-07-28 11_13_08/1690533498968 | Nini ulipenda kuhusu kukuzia aina A eleza kwenye sifa za kilimo? Mimi ile ni meipenda kusababu inabeba zaidi. sawa. pia inakomaa haraka pia inakua haraka. haya sawa |
|
Hai_21_2023-07-28 11_13_08/1690533981477 | Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina C kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Ndio pia C inaweza kuwa kwa matumizi ya chakula vizuri kwasababu uzalishaji yake pia ni mzuri |
|
Hai_21_2023-07-28 11_13_08/1690533902897 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina ya C, kwa biashara au matumizi ya chakula. Hapana |
|
Hai_21_2023-07-28 11_13_08/1690533874791 | Je kuna kitu chochote ambacho ulipenda kuhusu kukuzia aina ya C, eleza kwenye sifa za kilimo. Hapana |
|
Hai_21_2023-07-28 11_13_08/1690533845143 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuzia aina ya A, eleza kwenye sifa za kilimo. Hapana hakuna kitu sikukipenda |
|
Hai_21_2023-07-28 11_13_08/1690533554040 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuzia aina ya A, eleza kwenye sifa za kilimo. ni katika kugusia sifa hizi za kilimo ili apana hakuna kitu ambacho sikukipenda |
|
Hai_21_2023-07-28 11_13_08/1690533461533 | Kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi? Katika aina ya tricot niliyoipenda zaidi ni A. Sawa |
|
Lushoto_23_2023-08-01 10_16_50/1690876014497 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kukuza aina A, eleza kwenye sifa za kilimo. Changamoto ilikuwa kwenye uvunaji mvua zikiwa nyingi uwaga inabadilisha rangi, ikishaa nyeshewa na mvua inabadilisha rangi yake |
|
Lushoto_23_2023-08-01 10_16_50/1690875775042 | Nini ulipenda kuhusu kukuza aina A, eleza kwenye sifa za kilimo. Nimependa uuzaji wake bora na kuhimili magonjwa |
|
Lushoto_23_2023-08-01 10_16_50/1690876589125 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina B kwa biashara au matumizi ya chakula? Nilipenda kwa sababu haina soko, ndio maana sijaipenda lakini kwenye chakula iko vizuri |
|
Lushoto_23_2023-08-01 10_16_50/1690876553272 | Je ni kitu gani chochote ambacho ulikipenda kuhusu kukuza aina B? Kitu ambacho nilipenda kukuza B ni uzaaji, inazaa vizuri. |
|
Lushoto_23_2023-08-01 10_16_50/1690875751030 | Kwa ujumla aina gani ya tricot uliipenda zaidi? A. A? sawa. |
|
Lushoto_23_2023-08-01 10_16_50/1690876279009 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula? Kitu ambacho sijakipenda kwenye A ni kwamba mvua zikizidi hali ya hewa ikibadilika maharangwe yakibadilisha rangi hayauziki |
|
Lushoto_23_2023-08-01 10_16_50/1690876802500 | Je kuna kitu chochote unafikiri kinaweza kufanya aina ya B kuwa nzuri kwa biashara au matumizi ya chakula? Wanatakiwa wabadilishe ladha pamoja na rangi |
|
Lushoto_23_2023-08-01 10_16_50/1690876420896 | Kati ya hizi aina tatu, ipi huipenda sana? B |
|
Lushoto_23_2023-08-01 10_16_50/1690876493849 | Ni kitu gani hukukipenda kuhusu kuuza aina B, elezea kwenye sifa za kilimo. Kwenye upande wa B, sikupenda kwasabu aina soko sana.Soka lake linakuwa lipo chini sana, uuzaji wake niwa shida ndio maana sikuipenda |
|
Lushoto_23_2023-08-01 10_16_50/1690876144080 | Ni kitu gani ulichopenda kuhusu aina A kwa biashara au matumizi ya chakula? Eeh A niliipenda kwa sababu ina ina watu wateja wanaipenda sana sokoni na pia jikoni inaiva haraka kitu kama hicho |