English sentence
stringlengths 1
1.37k
⌀ | Swahili Translation
stringlengths 1
1.21k
⌀ |
---|---|
There are very few passengers in the train. | Kuna watu wachache kwa gari la moshi. |
Will the therapy cause me any pain? | Je, tiba hiyo itanisababishia maumivu yoyote? |
The track meet was called off on account of the heavy rain. | Mkutano wa kukimbia ulisitishwa kwa sababu ya mvua kubwa. |
The brave knight steps forward and kisses the lady on the hand. | Hatua ya ujasiri unasongea mbele na kumbusu bibi huyo kwa mkono. |
Let's leave the problem until tomorrow. | Tuache iyo shida mpaka kesho. |
The colors of the pattern are very ordinary. | Rangi za muundo ni za kawaida sana. |
The widow suffered from stomach cancer. | Mjane huyo alipatwa na saratani ya tumbo. |
The soldier lay injured on the ground. | Maaskari walilala chini wakiwa wamejeruhiwa. |
The surface of the object is fairly rough. | Uso wa kitu ni mbaya. |
The lady's funeral was held at the local church. | Mazishi ya mwanamke huyo yalifanyika katika kanisa la mtaa huo. |
To prevent the disease from spreading quickly was not an easy task. | Ili kuzuia ugonjwa kuenea haraka haikuwa kazi rahisi. |
The airplane flies at a speed of five hundred kilometers per hour. | Ndege inapepea kwa kasi ya kilomita mia tano kwa saa. |
The cat took advantage of the high grass to creep on the bird. | Paka alitumia faida ya nyasi kuwa ndefu katika kummendea ndege. |
The fire, driven by an east wind, destroyed the center of the city. | Moto, ukiopeperushwa na upepo wa mashariki, uliharibu katikati ya mji. |
There are subtle differences between the two things. | Kuna tofauti hila kati ya mambo haya mawili. |
The island is covered with ice and snow during the winter. | Kisiwa hufunikwa na barafu na theluji wakati wa baridi. |
During that winter, writing occupied most of my free time. | Wakati huo wa msimu wa kipupwe, uandishi ulichukua muda wangu wa starehe. |
The street is named for President Madison. | Barabara hii imepewa jina la Rais Madison |
If that city were a color, it would be a color with a quiet sort of dignity ... wine red, say. | Ikiwa jiji hilo lilikuwa rangi, itakuwa rangi na utulivu wa aina yake ... divai nyekundu, sema. |
The town is located in the extreme north of Japan. | Mji huo upo kaskazini mwa Japan. |
Among these there may be new sources of food fish and new species of other creatures. | Miongoni mwa hivyo huenda kuna vyanzo vipya ya samaki na aina nyingine ya viumbe |
The man was too fat to move by himself. | Mwanamume huyo alikuwa na uzani mkubwa hivyo hangeweza kutembea kivyake. |
The country's foreign trade depends entirely on this port. | Biashara ya nje ya nchi inategemea kabisa bandari hii. |
The villagers serve their own needs by taking turns driving the bus. | Wanakijiji hutumikia mahitaji yao kwa kubadilisha usukani kuendesha basi. |
The campaign succeeded and he won the election. | Kampeni zilifaulu na akashinda uchaguzi. |
The ship will set sail for Hong Kong tomorrow at 3 p.m. | Meli hiyo itaanza safari ya Hong Kong kesho saa 9 mchana. |
Covered with dust, the doll stood in the corner of the room. | Doli ilisimama kwenye kona ya chumba ilikwa imefunikwa na vumbi. |
Terms were signed between Japan, Germany, Great Britain and the United States. | Masharti yalitiwa saini kati ya Japan, Germany, Uingereza na Marekani. |
The castle stands three miles north of the town. | Kasri liko maili tatu kaskazini mwa mji. |
The girl tore the cloth. | Msichana alichana nguo. |
The path continues straight ahead for miles on end. | Njia inaendelea moja kwa moja kwa maili mwishoni. |
The glove has a hole in the thumb. | Glovu imetoboka kwa kidole cha gumba. |
A group of scientists stood by, ready to record the experiment. | Kundi la wanasayansi lilisimama, tayari kurekodi majaribio. |
Your success in the enterprise depends on your effort. | Kufanikiwa kwako katika biashara kunategemea bidii yako. |
I arranged the business with Mr Brown. | Nilipanga biashara na Bw. Brown. |
The cruel man beat the dog with a whip. | Mtu mkatili alimpiga mbwa kwa mjeledi. |
That forest fire happened from natural cause. | Moto huo wa msituni ulisababishwa na hali ya kawaida. |
The mountain is famous in myth and legend. | Mlima ni maarufu katika ngano na hadithi. |
The author presented a copy of his latest book to me. | Mwandishi alinipatia nakala ya karibuni. |
The performance was received with applause. | Maonyesho yalipokelewa kwa shangwe. |
The ice on the lake is too thin to bear your weight. | Barafu iliyo kwenye ziwa ni nyembamba sana kubeba uzito wako. |
The beauty of the lake is beyond description. | Urembo wa ziwa hauelezeki. |
Only part of the building has been destroyed by the earthquake. | Ni sehemu moja ya jengo iliyoharibiwa na mtetemeko wa ardhi. |
It's nothing impressive. It's just a bit part in that play. | Sio kitu cha kuvutia. Ni sehemu kidogo tu katika mchezo huo. |
The alarm sent everyone rushing out of the room. | Kengele ilipeleka kila mtu kukimbilia nje ya chumba. |
The cop was shot on his beat. | Polisi alipigwa risasi kwenye lindo lake. |
The army was involved in a number of brilliant actions during the battle. | Jeshi lilihusika katika matendo mengi kadhaa wakati wa vita. |
The lord held absolute power over his subjects. | Bwana alikuwa na mamlaka kabisa juu ya raia wake. |
The church was built hundreds of years ago. | Kanisa lilijengwa mamia ya miaka iliyopita. |
The article was an invitation for public protest against the newspaper. | Nakala hiyo ilikuwa mwaliko wa maandamano ya umma dhidi ya gazeti hili. |
Students are forbidden to smoke on the school grounds. | Wanafunzi wanakatazwa kuvuta siraga kwenye maeneo ya shule. |
The company couldn't cope with sudden changes. | Kampuni hiyo haikuweza kukabiliana na mabadiliko ya ghafla. |
The company's financial year runs from April until March of the following year. | Mwaka wa kifedha wa kampuni hiyo unaanzia Aprili hadi Machi ya mwaka uliofuata. |
I didn't commit myself to attend the meeting. | Sikuahidi kuhudhuria mkutano. |
That song reminds me of a famous movie actor. | Wimbo huo unanikumbusha muigizaji maarufu wa sinema. |
The scientist tried to discover Nature's laws. | Mwanasayansi alijaribu kugundua sheria Asili. |
The family has been cursed with poor health. | Familia imelaaniwa kwa afya mbaya. |
The dirty boy turned out to be a prince in disguise. | Mvulana mchafu aligeuka kuwa mwanamfalme. |
The director used his power to arrange a special place in the cinema world. | Mkurugenzi alitumia nguvu yake kupanga mahali maalumu katika ulimwengu wa sinema. |
The driver really screwed up the team when he drove them to the wrong playing field in a different town. | Dereva aliikosea timu kweli wakati alipowapeleka kwenye uwanja usiofaa wa kucheza ulio mji tofauti. |
The rumor became common property. | Uvumi huo ukawa mali ya kawaida. |
Whoever wins the race will receive the prize. | Yeyote atakayeshinda mbio atapata tuzo. |
Bear in mind that, under such circumstances, we have no alternative but to find another buyer. | Kumbuka kwamba, katika hali kama hizi, hatuna njia nyingine ila kupata mnunuzi mwingine. |
The boat uses a motor for the power. | Mashua inatumia mota kuipa nguvu. |
The parade was led by an army band. | Gwaride hilo liliongozwa na bendi ya jeshi. |
The data was completely useless. | Data hiyo ilikuwa haina maana kabisa. |
The monkey took a banana by means of the stick. | Tumbili alichukua ndizi kupitia kijiti. |
The garbage is giving off a terrible smell. | Takataka inatoa harufu mbaya. |
Two can play at that game. | Watu wawili wanaweza kucheza mchezo huo. |
The money was put into a special fund to buy books for the school library. | Pesa hiyo iliwekwa katika mfuko maalum kununua vitabu kwa maktaba ya shule. |
Now, just let the clay slide between your fingers. | Sasa, acha tu udongo uteleze kati ya vidole vyako. |
And they will continue to influence the world through the excitement of their literature, movies and music. | Na wataendelea kushawishi ulimwengu kupitia msisimko wa fasihi zao, sinema na muziki. |
There you see the gate which Mr Jones built. | Huko unaona lango ambalo Mr Jones aliijenga. |
They were based on goods which the members of a society recognized as having value. | Zilitokana na bidhaa ambazo wanachama wa jamii walitambua kuwa zina thamani. |
Mr Smith gave a lecture on literature. | Bwana Smith alitoa hotuba ya fasihi. |
Mr Smith is accused of breach of contract. | Bwana Smith ameshtakiwa kwa uvunjaji wa mkataba. |
Mr Smith proposed marriage to Jane. | Bwana Smith alimposa Jane. |
Talking of Professor Smith, his assistant is hard of hearing. | Kuzungumzia Profesa Smith, msaidizi wake ni mgumu kusikiliza. |
Mr Smith is within shouting distance. | Bwana Smith yupo karibu. |
A farewell party was held in honor of Mr Smith. | Hafla ya heri njema ilifanyika kwa heshima ya Bwana Smith. |
Please connect me with Mr Smith. | Tafadhali wasiliana na Bw. Smith. |
Every experiment required a protected environment and an entirely objective frame of mind. | Kila jaribio lilihitaji mazingira ya kulindwa na urazini kamili wa akili. |
The spy sent information by code. | Jasusi huyo alituma habari kwa kuficha. |
Steve received a letter from Jane. | Steve alipokea barua kutoka kwa Jane. |
Scott received a very strict education. | Scott alipokea elimu madhubuti. |
Susan eats like a bird and leaves most of the food on her plate. | Susan anakula kama ndege na kubakisha chakula kwenye sahani yake. |
I beg your pardon. I didn't think this was your seat. | Naomba radhi. Nikufikiria hiki kilikuwa kiti chako. |
It is rude to stare at strangers. | Ni kukosa heshima kuwaangalia wageni. |
John always breaks the ice in class. | Kila wakati Jonh huteleza taarifa darasani. |
John knows English history from A to Z. | John anajua historia yote ya Kiingereza. |
Probably John will pass the examination. | Pengine John ataupita mtihani. |
Mr Johnson suddenly changed his mind and signed the contract. | Bwana Johnson alibadilisha mawazo ghafla na kutia saini mkataba. |
I can't understand why John turned down a job as good as that. | Siwezi kuelewa kwanini John alikataa kazi nzuri kama ile. |
The shopping center is a mile further down the road. | Kituo cha ununuzi ni maili moja zaidi. |
Mr Jordan woke up suddenly. | Bwana Jordan aliamka ghafla. |
Mr George Bush is the forty-first president of the United States. | Bwana George Bush ndiye rais wa arobaini na moja wa Amerika. |
Georgia is his native state. | Georgia ndio jimbo lake la asili. |
Julie received a Christmas card from her brother in Italy. | Julie alipokea kasi ya Krismasi kutoka kwa kaka yake wa Italia. |
Don't drop cigarette ash on the carpet. | Usiangusha jivu la sigara kwenye zulia. |
Jack and Betty have been going steady for a month. | Jack na Betty wamekuwa na mahusiano thabiti kwa mwezi mmoja. |