English sentence
stringlengths
1
1.37k
Swahili Translation
stringlengths
1
1.21k
Jack, Jill and Alice went up the hill.
Jack, Jill na Alice walipanda mlimani.
Mr Jackson has recently transferred to Tokyo from Los Angeles.
Bwana Jackson amehamia Tokyo kutoka Los Angeles hivi karibuni.
You cannot rely upon Jim's words since he tries to please everybody.
Hauwezi kutegemea maneno ya Jim kwani anajaribu kumpendeza kila mtu.
Jim and Mike threw the ball back and forth.
Jim na Mike walitupa mpira nyuma na mbele.
Jimmy is to some extent capable of performing this operation.
Jimmy kwa kiwango fulani anaweza kufanya operesheni hii.
But showing off the presents could embarrass the guests who did not bring one.
Lakini kuonyesha zawadi zake kunaweza kuwaaibisha wageni ambao hawakuleta chochote.
But in many ways, the bird called Alex is unusual, for it has shown the kind of mental abilities that scientists once thought only humans had.
Lakini kwa njia kadhaa, ndege aitwaye Alex sio wa kawaida, kwa kuna ameonyesha uwezo wa kiakili ambao wanasayansi waliwahi kufikiri ni binadamu tu anao.
Did Jerry really win a lottery?
Je, kweli Jerry alishinda bahati nasibu?
Jeff thinks he will never fall in love.
Jeff anafikiri hawezi kuangukia kwenye mapenzi.
The jet plane landed following the instructions of the control tower.
Ndege ya jeti ilitua kufuatia maagizo ya mnara wa kudhibiti.
It is exciting to welcome Jane.
Inafurahisha kumkaribisha Jane.
Jane must stop giving way to her desire for chocolate.
Jane lazima aache tamaa yake ya chokoleti.
Whether Shakespeare wrote this poem or not will probably remain a mystery.
Kama Shakespeare aliandika shairi hili au la, litaendelea kuwa fumbo.
Sally called on Mr Taylor.
Sally alimwendea Bwana Taylor.
To make matters worse, he isn't even conscious of annoying his neighbors.
Jambo baya hata zaidi ni kwamba hata haoni kuwa anawakasirisha majirani zake.
To make matters worse, he began to drink sake.
Kufanya mambo mabaya zaidi, alianza kunywa mvinyo wa sake.
The whole soccer team was on cloud nine after winning the championship.
Timu nzima ya mpira walifurahia sana baada ya kushinda ubingwa.
Let's break up the party.
Tusitishe tafrija.
Now, go and have a good time. The work can wait.
Sasa, nenda kapumzike. Kazi inaweza kungoja.
A map is available upon request.
Ramani inapatikana ukituma ombi.
The machine again made the usual noise and printed out the following analysis.
Mashine tena ilifanya kelele ya kawaida na kuchapisha uchambuzi ufuatao.
Such treatment would make anybody rebel.
Utendaji huo ungefanya mtu yeyote kuasi.
If you request a further discount, we suggest changing the terms of payment.
Ukiomba kipunguzi zaidi, tutakushauri ubadilishe masharti ya malipo.
These green leaves turn red or yellow in fall.
Majani haya ya kijani hugeuka nyekundu au manjano katika msimu wa kipupwe.
As these trees grow tall, they rob the grass of light.
Miti hii inapokua ndefu, hunyakua mwangaza kwa nyasi.
What accounts for these symptoms hasn't been discovered yet.
Kinachosababisha dalili hizi hakijagunduliwa bado.
In all my career as a travel agent, I never visited Africa.
Katika kazi yangu yote kama wakala wa kusafiri, sikuwahi kutembelea Afrika.
It is something my mother made.
Mama yangu alikifanyiza.
This is too good a chance to lose.
Hii ni nafasi nzuri sana ya kupoteza.
This tour takes in each of the five main islands.
Ziara hii inahusika visiwa vyote vitano.
Nothing can excuse him for such rude behavior.
Hakuna kinachoweza kumruhusu kwa tabia hiyo mbaya.
This tree has been standing for five decades.
Mti huu umekuwa ukisimama kwa miongo mitano.
This book will be helpful to your study.
Kitabu hiki kitasaidia katika masomo yako.
This art collection is rich in paintings by Dutch masters.
Mkusanyiko huu wa sanaa ni tajiri katika picha za kuchora na mabwana wa Uholanzi.
There seems to be some genetic problem with this animal.
Inaonekana kuna shida ya kimaumbile kwa mnyama huyu.
Most snakes on this island are harmless.
Nyoka nyingi katika kisiwa hiki hawadhuru.
The city was ruined by the brutal force of nature.
Jiji liliharibiwa na nguvu ya kikatili ya asili.
Is there a museum in this town?
Je, kuna makumbusho katika mji huu?
The frequency of crime in the town is high.
Masafa ya uhalifu mjini ni kubwa.
This boy has a strong and healthy body.
Mvulana huyu ana mwili thabiti na yenye afya.
I name this ship the Queen Elizabeth.
Naita meli hii Malkia Elizabeth.
Add up this column of figures.
Ongeza kolamu hii kwenye jedwali.
There are a great many books in this library.
Kuna vitabu vingi vizuri maktabani.
This lady witnessed an accident at three o'clock this afternoon.
Mwanamke huyi alishuhudia ajali saa tisa za mchana leo.
We'll need a head hunting agency to find the right man for this executive position.
Tutahitaji wataamu wa ajira kupata mtu anayefaa kwa msimamo huu wa mtendaji.
When I have finished writing the letter, I will take you to the lake about two miles beyond the hill.
Nikimaliza kuandika barua, nitakupeleka kwenye ziwa umbali wa maili mbili zaidi ya kilima.
This clock strikes the quarter hour.
Saa hii inagonga robo saa.
This job makes tremendous claims on our emotional strength.
Kazi hii inafanya madai makubwa kwa uwezo nguvu zetu za kihisia.
According to this magazine, my favorite actress will marry a jazz musician next spring.
Kulingana na gazeti hili, mwigizaji wangu pendwa atamuoa mwanamuziki wa jazz msimu ujao.
I hope this expense report contains all the relevant business expenses because I'm not paying a cent more after this.
Natumahi ripoti hii ya gharama ina gharama zote muhimu za biashara kwa sababu sitalipa senti nyingine zaidi baada ya hii.
Please accept our apologies for the trouble this matter has caused you.
Tafadhali ukubali msamaha wetu kwa tatizo ambalo jambo hili limesababisha.
This project will involve 50 trained staff members.
Mradi huu utahusisha wafanyakazi 50 waliopitia mafunzo.
This church dates from the 12th century.
Kanisa hili lilianzia karne ya 12.
The butcher who sold me this beef is always friendly.
Mchinjaji aliyeniuzia nyama hii ni rafiki kila wakati.
This rule does not apply to the case.
Sheria hii haitumiki kwa kesi hiyo.
This machine answers to human voice.
Mashine hii inajibu sauti ya mwanadamu.
I'd like to take advantage of this opportunity to thank you all for your cooperation.
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru nyote kwa ushirikiano wenu.
This desk is different from the one I ordered.
Dawati ni tofauti na nililoagiza.
This painting will pass for genuine.
Picha hii itathibishwa kuwa halisi
I felt like a fish out of water at this firm.
Nilihisi kama samaki nje ya maji katika kampuni hii.
The fire reduced the whole village to ashes.
Moto ulipunguza kijiji kizima kuwa majivu.
The scientist is famous not only in Japan but also in foreign countries.
Mwanasayansi huyo sio maarufu nchini Japan tu, bali pia katika nchi za nje.
With this one exception, it is quite wrong to suppose that a simple culture will also have a simple language.
Kwa kighairi hiki kimoja, si sawa kudhani kuwa utamaduni ulio rahisi pia una lugha rahisi.
Does this bus go to the train station?
Je, basi hili hufika kwenye kituo cha treni?
The owner of this bar never sells liquor on credit.
Mmiliki wa bar hii huwa hauzi pombe kwa deni.
This theme should be treated in more detail.
Mada hii inapaswa kushughulikiwa kwa undani zaidi.
This chocolate is very sweet and tasty.
Chokoleti hii ni tamu sana na ina ladha.
This tire is showing wear.
Tairi hii inaonekana kuzeeka.
This symbol stands for strength and integrity.
Ishara inasimamia nguvu na uadilifu.
Don't pour hot water into the glass or it will crack.
Usimimine maji ya moto kwenye glasi au itapasuka.
The glass crashed to the ground.
Kioo kilianguka chini.
This is Miss Curtis.
Huyu ni Bi Curtis.
This is the TV station where my uncle works as an announcer.
Hii ndio kituo cha Runinga ambapo mjomba wangu hufanya kazi kama mtangazaji.
Between ourselves, he keeps a mistress.
Baina yetu, anaendelea mpenzi wa kando.
It's the same wherever you try and escape: everywhere is a death row, and everyone's a victim.
Ni sawa popote unapojaribu na kutoroka: kila mahali kuna safu ya kifo, na kila mtu ni mwathirika.
How long does it take from here to the station?
Inachukua muda gani kutoka hapa hadi stesheni?
Gordon has had his head in the clouds all week.
Gordon amekuwa na mawazo mengi wiki nzima.
I'd like seats about fifty yards from the court.
Ningependa viti viwe karibu na yadi hamsini kutoka kwa bustani.
The coach made the players run five miles a day.
Kocha huyo aliwafanya wachezaji kukimbia maili tano kwa siku.
Kelly cleared his throat and begin to speak.
Kelly alisafisha koo lake na kuanza kuongea.
President Kennedy was killed, but his legend will live on forever.
Rais Kennedy aliuawa, lakini hadithi yake itaishi milele.
It was not until Kay received the doll that she stopped crying.
Ilikuwa hadi Kay alipopokea yule doli ambapo aliacha kulia.
Credit is the amount or sum placed at a person's disposal by a bank; a loan of money.
Mikopo ni kiasi au jumla iliyowekwa kuombwa na mtu; mkopo wa benki.
It's dangerous to tell Chris your secrets because he tells everybody.
Ni hatari kumwambia Chris siri zako kwasababu atamwambia kila mtu.
Chris was hired to paint houses and was able to raise the money.
Chris aliajiriwa kupaka nyumba rangi na aliweza kupata pesa hizo.
Cathy had her hat blown away.
Kofia ya Cathy ilipeperushwa.
The rough material hurt the child's tender skin.
Kitu kilimuumiza mtoto ngozi yake nyororo.
Kim's smile was very sweet.
Tabasamu la Kim lilikuwa tamu sana.
Playing country-western music on guitar is real kid stuff to a true professional.
Kucheza muziki wa nchi za magharibi kwenye gita ni vitu halisi vya watoto kwa mtaalamu wa kweli.
Cancer can be cured easily if it is found in its first phase.
Saratani inaweza kutibiwa kwa urahisi ikigunduliwa mapema.
Hold the button down until you hear the shutter make a clicking sound.
Shika kitufe chini hadi usikie kifuniko kikitoa sauti ya kubonyeza.
The Catholic Church is opposed to divorce.
Kanisa Katoliki linapinga talaka.
Cocktail parties can be boring.
Karamu za mapema jioni zinaweza kusinya.
It took me by surprise to hear that Carl was moving to Germany.
Ilinishangaza kusikia kwamba Carl alikuwa akihamia Ujerumani.
It was yesterday morning that I saw Mr Carter.
Ilikuwa jana asubuhi nilimwona Bwana Carter.
Excuse me for interrupting you, but would you mind opening the window?
Niwie radhi kwa kukukatiza , lakini unaweza kuifungua dirisha hii ?
Do you have any bags to check?
Una mifuko yoyote ya kuangalia?
Your beauty turns me pale.
Urembo wako unanigeuza rangi.
This way, please, mademoiselle.
Tafadhari, njia ni hii dada.
The visitor has gone away five minutes before you came back.
Mgeni amekwenda dakika tano kabla ya hujarudi.